ken walibora

Siku Njema Yaja Asubuhi! Mwandishi Maarufu Ken Walibora Afariki

Mwana riwaya maarufu na mwandishi wa habari Profesa Ken Walibora ameaga dunia baada ya kuhisika katika ajali mbaya ya barabarani eneo la Ladhes Road, Nairobi.

Inaripotiwa kuwa ajali hiyo ilitokea baada ya kugongwa na gari aina ya matatu mnamo Ijumaa.

Baadhi ya riwaya ngwiji huyu wa lugha ya Kiswahili ameandika ni Kidagaa Kimemwozea, Siku Njema, Ndoto ya Amerika na Kadhalika.

Mola ailaze roho yake mahala pema peponi.

READ ALSO:

Loading...